modem Aina gani? kama ni hizi za usb zinakuja na sw yake ambayo ita-install driver.
k 3570-z nafikili inaweza tumika kama kama wireless interface (badala ya wireless interface card),ambayo huitaji Wireless Access Point to work
ni tofauti kidogo....inaitwa Vodafone Mobile WiFi wanaziuza 155,000/= ina speed ya 7.2Mbps...unaweza ukaiconnect kwa kutumia usb wakati huo huo kama wireless ambapo hata kama unacomputer nne au tano unaweza ukaziconnect kwa kutumia wireless....
zinauzwa 155,000tsh pale mliman city....kama computer zako hata sita zikiwa na WiFi zote unaziconnect kwa kutumia hiyo moderm moja....speed yake ni 7.2Mbps hizi za kawaida ni 3.2Mbps
zinauzwa 155,000tsh pale mliman city....kama computer zako hata sita zikiwa na WiFi zote unaziconnect kwa kutumia hiyo moderm moja....speed yake ni 7.2Mbps hizi za kawaida ni 3.2Mbps