Wireless gamepad ya pc

Wireless gamepad ya pc

Hapana sio logitech nimejaribu na ma game ya pc ila bluestack sijajaribu
 
Ina2mia dry Cells or ni chargeable. Also u might wanna put ur mobile 4 easy access
 
0764728440 inatumia AA battery mbili unaweza kuweka zile rechargable au za kawaida tu
 
Zipo na kila kitu cd hadi na receiver yake
 
Unakama hii Xbox 360 ya PC mkuu nahitaji moja nyingine
 

Attachments

  • 1392130399081.jpg
    1392130399081.jpg
    55.8 KB · Views: 110
ipo hiyo moja au nyingi mana huku watu kibao tunataka mkali....
 
Back
Top Bottom