Electrical Engineer
Member
- Oct 6, 2012
- 50
- 18
Wakuu habari,
Nngependa tujuzane hii kitu kwa undani zaidi, hasa wale wadau wa umeme na wireless sensors kwa ujumla. Nmekua inspired na vjana watundu haswa wa mitaani tu wanaobuni simple mechanisms zinazowezesha kucontrol taa pamoja na baadhi ya vifaa vya umeme wirelessly using mobile phones or simple sensors. Nikiwa kama electerical engineer mtarajiwa, nilikua interested na hii kitu. Sasa naomba tujuzane kinagaubaga kwa anaefahamu je ni components zipi basically zinahitajka kuperform iyo task? Hapa ni vema circuit, design and the whole thing in general vikawa simple na affordable, just for learning. Though bado ni mwanafunzi na sijawahi jifunza hii kitu darasani but i believe i can get something from you. :help: