Wakuu nahitaji wino nijaze kwenye printer yangu ni HP laserjetP1102
Au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata hii huduma tuwasiliane wakuu.
Shukrani za dhati kwenu
Nipo DSM
Wakuu nahitaji wino nijaze kwenye printerbyangu ni HP laserjetP1102z.
Au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata hii huduma tuwasiliane wakuu.
Shukrani za dhati kwenu