Wingi wa rocket angani kuna nini?

Hizo ni ndege za abilia zinazo toka nara moja kwenda bara lingine tena ni kubwa mno hata tz inawezekana ikashindwa kutua kutokana na udogo wa viwanja vyetu
Unaweza kuta huyu ni mwalimu.
 
Unaweza kuta huyu ni mwalim
 
Kila siku hizi zinapita rocket kwenye anga.kuna project kubwa zimeongezeka zinahusu nini?
siyo Rocket mkuu hizo ni ndege kubwa tu za Masafa ya mbali ambazo zinapita anga la juu sana
 
Sidhani kama zile ni ndege za abiria.. Kwa umbali ule mpaka hazionekani unaona moshi tu.. Haiwez kuwa imebeba abiria
ni ndege za abiria ambazo hazitui hapa bongo wala nchi za jirani na hapa ndomana zinapita juu sana... ni mfano wa Fly emirates, klm, au qatar airways hizi pia zina uwezo wa kupita international airspace
 
Good answer, na zinapita kwa kuomba kama nchi hakuna ulinzi wa anga wanajipitia tu bila kuomba, chombo cha ulinzi wa anga angalia hiyo Avatar yangu kitu hiki kinaitwa S 500 ni cha Mrusi hatari sana NATO hawasogelei anga lako ukiwa nacho.
ni aina ya hizo ziliidingua Malaysia airline kule Ukraine futi 30000 juu, nadhani zina heat seeking missile
 
yah nasikia ukiwa huko space force ndogo tu aidha umejupush wewe mwenyewe against something unaondoka moja kwa moja unapotelea kwenye space unakuwa floating object kama vimondo huko juu unaelea forever bila mwisho
 
Nikweli zinapita isivyo kawaida.acha zile za kijesh zinazopita katika anga LA dar nakibiti
 
Sidhani kama zile ni ndege za abiria.. Kwa umbali ule mpaka hazionekani unaona moshi tu.. Haiwez kuwa imebeba abiria

Dah we jamaa ni kiboko kwani basi likiwa umbali mrefu na Abilia si linaonekana kama bajaji tu? Zile ni ndege za Abiria ila zinakuwa zinapita Anga ya juu sana
 
Jamaa ana point mnambeza bure, kuna drons ziko angani mida ya usiku hasa barabara ya morogoro road, inawezekana kuna tafiti au project fulani hasa usiku rahisi kuziona nadhani ndiyo anacho ulizia. Msaidien msimcrash
 
Ule sio moshi
 
Du upo vizuri
 
Ila ni nini kama sio moshi
 
Hizo ndio rocket

Nimekumbuka zile stori za utotoni ndege ikipita juu sana ikaacha msitari mweupe tuliambiwa ni rocket imebeba wazungu.

Eti rocket inaenda horizontal au sio alafu rocket inaenda kutua kwenye uwanja wa ndege


We mleta mada hizi ndo rocket umeziona angani?
 
Jamaa ana point mnambeza bure, kuna drons ziko angani mida ya usiku hasa barabara ya morogoro road, inawezekana kuna tafiti au project fulani hasa usiku rahisi kuziona nadhani ndiyo anacho ulizia. Msaidien msimcrash
" barabaravya morogoro road. " Nd'o nini hiyo?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…