Mkuu zile sio rocket ni ndege za abiria na za kimataifa hapa mwanza zinapita juu Sana katika anga la kimataifa ambalo kule juu kuna baridi Sana sasa zile engine za ndege ni za jet zinapovuta upepo kutoka mbele zikapita kwenye propeller na kutokea upande wa pili zinatoa mvuke ambao ndo tunauona then wananchi mnasema ni Rocket ,sio kweli rocket ni za kwenda anga za juu zinarukia China ,America ,Europe na Urusi direct to the space