Nasubiri jibu maana nilipata tatizo kama hilo, nilikuwa nasikia kizunguzungu sana hasa nikiamka. Kila dr aliongea ajuavyo na niliona wananichanganya tu. Mwisho wa siku niliamua kufanya mazoezi sana na kupunguza vyakula vinavyoongeza damu. Hali ilirudi normal ila sijajua hasa nini kinasababisha na nini matibabu yake!