Windows phone vs android niende wapi?

nataka ninunue Nokia X5, naomba sifa yake tafadhali,naipenda.
 
Hii thread Ni bomba.
Mm nnakalumia 520 nnashindwa kuiconnect kwenye computer, nifanyaje?
 

Mm Nina lumia 520 nnashindwa kukonekti kwenye pc, nifanyaje.
 
Android mpango mzima window phone no nzuri lakini huwezi kufurahia kama android

Ni suala la personal preference tu. I cant get enough of windows phone LIVE TILES, haziboi, style ni simple. Inategemea, kila mtu na mapenzi yake. iOS inaniboa lakini kuna mwingine anaipenda sana
 
.
Ki ukweli skype inaRun smoothly sana kwenye WP. Kulinganisha na kwenye android. Hii simu yangu ilikuja ikiwa na Windows 8.1 na ilikuja na skype, pia inayo feature ya double tap to wakeup. Pia naweza kutumia contacts za kwenye google, skype na hotmail ( sync)


 

Kazi nzuri Chief Mkwawa.. Big up bro
 
nimeona Lumia 950 iko pouwa kweli hasa in terms of OS (windowas 10) pretty amazing. Camera yenye triple flash ya 20 MP nyuma kwa 5mp mbele. yaaani kiujumla imekaa vizuri sana. CHIEF MKWAWA waonaje ujio huu wa Microsoft na hii Lumia 950? karibuni tuendelee na mjadala wa hii simu na OS yake ya Windows 10
 
Last edited by a moderator:

Daa nimeipenda kaka... 32 internal memory... 5.2 inches... Li-Ion 3000 mAh battery.. Ni ujio mzuri sana.. Sijui kwenye bei kutakuaje...
 
Last edited by a moderator:
Daa nimeipenda kaka... 32 internal memory... 5.2 inches... Li-Ion 3000 mAh battery.. Ni ujio mzuri sana.. Sijui kwenye bei kutakuaje...

dola 550 kwa 950 na 650 kwa 950xl
 

nilichofurahishwa
-camera ni nzuri sana pengine kuliko simu yoyote kwa sasa

kushoto ni 950 na kulia ni galaxy s6 hizo ni crop, ukiangalia level ya detail sio mchezo
hapa juha alkarahu anaelezea
https://youtu.be/1pPMYFOy3No

-continuum
utaweza kutumia simu yako kama desktop ukiwa na dock na monitor


-windows hello
hizi simu zinakuja na retina scanner utaweza ku unlock simu na jicho tu. pia kuna mambo mengi kwenye windows hello kama kukusaidia kuswitch between accounts.

ila sijapenda
-snapdragon 810
hii soc inaheat sana hadi imewalazimu watumie liquid cooling, na mafundi wetu wa bongo spati picha zikifunguliwa zitafanywa nini. wangesubiria tu snapdragon 820

-hakuna innovation
tumeshazoea kwenye event za nokia lazima kuwe na vitu 5 hadi 10 ambavyo ni vipya havi exist kwa competitor ila hizi simu ni kama tu za android hazina extra features.

kuhusu windows 10 naona kama bado ni mapema
 
Last edited by a moderator:
Miaka ya karibuni hakuna innovation kabisa.
 
hii thread ni nzuri, wakuu kati ya samsung mega na htc lates ipi mnanishauri kununua maana zote nazipenda na nimekosa choice na s6 edge ina kipi exceptional kisichopo kwenye s4 na s5
 
hii thread ni nzuri, wakuu kati ya samsung mega na htc lates ipi mnanishauri kununua maana zote nazipenda na nimekosa choice na s6 edge ina kipi exceptional kisichopo kwenye s4 na s5

htc lates ndio ipi? s6 edge ndio hio hio s6, ina specs kubwa zaidi kuliko s5 na s4 kama vile processor yenye nguvu zaidi, internal storage yenye kasi zaidi, display nzuri zaidi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ