Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,601
Hamjambo wadau? mwenye ujuzi naomba msaada tafadhali, ninatumia simu aina ya BLU Win510L, simu hii inatumia Windows 8.1 OS, tatizo ni kuwa simu hii iko slow vibaya mno kwenye mtandao natumia line ya halotel lakini bado ni shida, naipenda simu, kuna namna ya kuifanya iwe fasta? uwezo wa simu ni 3G, @chiefmkwawa,
Asanteni kwa ushirikiano
Asanteni kwa ushirikiano