(windows OS) Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh

(windows OS) Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh

Joined
Apr 12, 2025
Posts
99
Reaction score
80
Windows App Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh.
Programu ya kuedit, kutengeneza na kazi zingine za PDF faili.

Napatikana: Dar es salaam, Mbezi.
Mawasiliano: 0756704145
 
Jaribu kufungua uzi mmoja tu wa kuhusu biashara yako half kila kitu kinachohusiana na biashara yako uwe unaweka humo

Ni ushauri.

Faida yake ni kwamba kazi zako zote zitakua ndani ya uzi mmoja, hivyo watu wakiangalia tu wanaona kila kitu kwa wakati mmoja.

Ni tofauti na saivi, kila kazi ina uzi wake, kitu ambacho kinaweza kua ni kigumu kwa namna fulani.
 
Hii chief ni free kabisa, ukiingia getintopc.com. Tupendane jamani.
Napajua huko hua nakagua hata leo, ila toka nimefutiwa vitu vyangu vyote kwenye PC, sijaribu tena..mi ilikua flash tu, sasa kwa software sijawahi jaribu

Hua unapakua na kuzitumia vizuri?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom