Windows insider

ibuo

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
464
438
Nimeona notifications kutoka microsoft wakieleza jinsi ya kuupdate windows phone 8.1 to windows 10 je kufanya hiyo kitu kunaweza kudamage kalumia kangu?

Maana official update inatoka mwez wa 11 hebu wenye ufaham wa haya maujanja wanisaidie kabla cjaanza utundu!
 
Usieke windows 10 kama ndio simu yako ya kila siku. Mimi nimeenda windows 10 kama mara 2 ila bado haijawa stable nikaamua nirudi 8.1.

Kama una simu mbili na hio lumia huitumii sana unaweza kuweka windows 10 ukaitest kibishi na hizo bug.

Sababu windows 10 ya pc ishatoka wale wataalam wa windows watakuwa wamehamia kwenye windows 10 ya simu sasa na hii update ya wiki hii wamefix bug kama 2000 hv.

Labda mwezi wa 9 watu wa insider tutapata build ambayo ipo stable atleast tukatumia kwenye matumizi ya kila siku
 
Mi natumia lumia 1520 na nimeweka w10 build ya juzi tuu na ndio daily window yangu ... Bugs zinakuwepo sometimes lakin sio km haiwezekani kutumiwa. Iko poa tena unakula raha za kufa mtu.
 
Mkuu uko sahihi. Na mimi natumia Lumia 1520 nimeweka windows 10 na inapiga kazi kama kawaida.. Bugs zipo ila kwa Lumia 1520 nahisi iko stable zaidi katika swala la bugs. Mleta maada kama unatumia Lumia ndogo yaani za RAM 520 halafu ndio simu yako ya mawasiliano nakushauri ufanye subiri mpaka Windows 10 mobile itakapozinduliwa rasmi....
 
Hivi kwanin tusifungue uzi kwa ajili ya watumiaji wa Windows Phones. ... Ni wazo tuu.

Ngoja win 10 itoke, nimeona jamaa wameihack wameeka hadi playstore kwenye win 10 na app zinazohitaji playservice zinafanya kazi.

Hapa nipo tempted kueka win 10 kwenye simu tena
 
Moja kati ya feature ya windows 10 for mobile, ni kuweza kuRun Apps za Android na iOS. So tutegemee kuwa na wigo mpana zaidi wa apps. Lakini pia kuInstall Preview version ya windows it your Own Risk kwa sababu Preview version zina Bugs nyingi na hilo limetamkwa na microsoft wenyewe, na hawana Warranty na hilo.
 
Hivi ukiweka windows 10 na ukataka kurudi windows 8 ni lazima utumie pc ama waweza kwenye simu pekee
 
Asante mkwawa maana nataka niweke windows 10 leo nina lumia 535 ili ikizingua nirudi 8 tena ila kwa waliojarib kwa lumia hyo cjui inafanya kaz vizur ama
 
Moja kati ya feature ya windows 10 for mobile, ni kuweza kuRun Apps za Android na iOS. So tutegemee kuwa na wigo mpana zaidi wa apps. Lakini pia kuInstall Preview version ya windows it your Own Risk kwa sababu Preview version zina Bugs nyingi na hilo limetamkwa na microsoft wenyewe, na hawana Warranty na hilo.
Conceptual.android app to windows phone EMULATION..but in real wanataka madeveloper wanaotengeza app za android na iOS wasitumie nguvu nyingi kutengeza app za windows phone..hii INA maana developer watakuwa wana Fanya less code editing and tweaking kwa ajili ya kutengeza app from android au iOS..or just convention of apps...wakifanya apps za android kurun direct hii itafanya madeveloper kutotengeza program za windows phone na kuendelea kutengeza kiandroid ili irun kwa windows phone.halo hii itafanya windows phone os kufa.
 
Ngoja win 10 itoke, nimeona jamaa wameihack wameeka hadi playstore kwenye win 10 na app zinazohitaji playservice zinafanya kazi.

Hapa nipo tempted kueka win 10 kwenye simu tena
Conceptual.android app to windows phone EMULATION..but in real wanataka madeveloper wanaotengeza app za android na iOS wasitumie nguvu nyingi kutengeza app za windows phone..hii INA maana developer watakuwa wana Fanya less code editing and tweaking kwa ajili ya kutengeza app from android au iOS..or just convention of apps...wakifanya apps za android kurun direct hii itafanya madeveloper kutotengeza program za windows phone na kuendelea kutengeza kiandroid ili irun kwa windows phone.halo hii itafanya windows phone os kufa.
 
Android app to windows 10 os canceled....now in iOS app to wn10 imeanza project kwa jina ni project islanderhood...wamekancel ya android kwa sababu app nyingi za android ni sparms wanahofia kuuwa os yao.
 
Wakuu hivi hakuna pengine pakupata app tofauti Na store...

Mpaka ufanye developer unlock ndio uta sideload app ambazo hazipo store.

Pia app za kampuni (ambazo sidhani kama upo interested nazo) zinaweza kuwa sideloaded bila kutumia store
 
Back
Top Bottom