Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,228
- 1,831
Habari zenu wanaJF? Kwa wale wataalamu wetu ninaomba ushauri. Nina Dell E1911 19inch monitor amabyo nilinunua hivi karibuni. Nilipata Windows 8.1 Enterprise kutoka JF Store nikafanya clean installation kwenye Dell Optiplex 745 yangu. Baada ya kumaliza nikaona resolution imekuwa blurred/imefifia , Nikajua itakuwa ni resolution ipo chini, nikajaribu kuchange lakini siioni option ya screen resolution yangu (ambayo ni 1440 x 900) badala yake highest resolution inayoonekana ni 1280 x 1024. Na hii 1280 x 1024 ni aspect ratio ya 5:4 na screenyangu ni 16:9 ambayo ndiyo 1280 x 1024. Imenisumbua sana mpaka nimeamua nitumie Windows 7. Naombeni mnisaidie kimawazo.
"Nitangulize shukrani zangu kwa yeyote atakayenisaidia"
