Ni kwl mkuu ntakuja na maelezo na genuine activation process for free umeme ukirudi.guys hebu nilete challenge hapa.
Kwamba hizi activator ni fake. Wewe unaona mashine yako ipo activated kumbe sio kweli changa la macho.
Moja kati ya feature ambayo huwezi kufanya katika windows 8 ambayo haipo activated ni kupersonalise nani ameweza baada ya kutumia hii activator?
Atlest mtu anihakikishie kwa kunionesha acount picha yake
MKUU MziziMkavu TAYARI NIMEDOWNLOAD ISO YA HIYO OS NA KUBURN FRESH TATZO NASHINDWA KUINSTLL JUU YA WINDOWS 8 AU 7 MAANA INATAKA NIFORMAT PARTITION ZOTE IWE MOJA. KAMA KUNA NAMNA NYINGINE YAKUFANYA BILA YA KUATHIRI PARTITION TAFADHALI NIELEKEZE
ndiyo yenyewe hiyo..........jamaa naona leo kadoda aiseemzizimkavu mr kicheko hapa nashusha zorin os 6 for 64bit na 32bit
Mkuu Kimox Kimokole chukuwa hii hapa Zorin Os Zorin OS 6.1 Core is the standard desktop version of Zorin OS. bonyeza hapa Zorin OS - FreeNi version gani mkuu, nipe link nami niishushe
Ok kama unaishusha poaMziziMkavu Mr Kicheko Hapa nashusha Zorin OS 6 for 64Bit na 32Bit
Mkuu Mr Kicheko Sijadoda nilikuwa sipo online sasa nimeingia nimekujibu fuatilia kwa makini sana.ndiyo yenyewe hiyo..........jamaa naona leo kadoda aisee
Mkuu Mzinga izime Laptop yako kisha uiwashe tena kisha kabla haijafunguka bonyeza F8 itakupeleka Safe Mod huko ndiko utakapo badilisha huo mwanga wako uliozidi ingawa hujataja hiyo Toshiba Modell gani jaribu kufuata haya maelezo yaliyochini ya kizungu.Wakuu mimi nashida na laptop yangu Toshiba brightness control nimetafuta sijaiona.Fn na symbol ya mwanga niki click hai respond.Nikienda kwenye power option sijaiona.Mwanga mkali kwa kweli.Naombeni msaada wenu ni satellite c850
Mkuu Mzinga unatumia Windows ipi? Windows XP au windows 7?angalia kwenye hiyo Keyboard yako utaiona hiyo FN. bonyeza pamoja Fn + F6 moja kwa moja usiachie kupunguza mwanga au kuongeza au jaribu kubbonyeza kwa pamoja hizi Fn + F7 moja kwa moja usiachie Angalia Video kisha ujaribu unipe feedbackMkuu MziziMkavu ni Toshiba C850.Nimejaribu njia uliyonipa ya kutype flash kwenye start button sioni hayo maelezo yanayofuata.
Mkuu MziziMkavu natumia win 7.Nikibonyeza Fn na F6 au F7 hairespond mkuu okoa macho yangu mkuu