Next tym nmekusoma mkuubaadhi ya games za direct x12 kuna cpu zimepata boost ya perfomance hadi asilimia 250. kama gpu yako inasuport direct x12 windows 10 ni must have hadi pc zenye pentium na celeron zimekuwa powerfull,
Je, walioipakua(download) bure kwa sasa nao watalazimika kununua au ukishakuwa nayo ni bure moja kwa moja?Windows 10 ni bure! just download freely. Bado ipo kwenye majaribio na offer. baadae itauzwa.
ni bure kama una genuine key ya windows 7 au 8, computer yako ilikuja na windows ipi?Je, walioipakua(download) bure kwa sasa nao watalazimika kununua au ukishakuwa nayo ni bure moja kwa moja?
Ilikuja na Windows 7 Home Premium.ni bure kama una genuine key ya windows 7 au 8, computer yako ilikuja na windows ipi?
angalia chini ya laptop hamna key?Ilikuja na Windows 7 Home Premium.
Ipo mkuu. Niifanyeje hiyo key?angalia chini ya laptop hamna key?
eka windows 10 home halafu tumia hio key kufanya activationIpo mkuu. Niifanyeje hiyo key?
Asante kwa ufafanuzi.eka windows 10 home halafu tumia hio key kufanya activation