Windows 10 ni nzuri sana

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Window 10 hana mpinzani nakushauri ewe mwana JF weka window 10 kwenye PC yako hakika hautajuta milele.
 
windows 10 ndio yenyewe kwa gaming angalia drivers zako
Mashine iko full direct x , nvidia drivers ziko updated , Redistributable Package zote ndani but probably kwakua nmezoea sana 8.1 ndio mana nahic kuna tofaut na 10 but kwasasa acha tu niipe Window 10 miez kazaa mbele ikiwa stable enough nitakuja kurudi tu.
 
Nitapata wapi cd ya window 10 na kwa shilling ngapi

Nimerudi windows 7. Haina dili bado. Matatizo kibao na hata wenyewe hawana solutions bado. La nini? Unatumia muda mwingi kutafuta solutions za matatizo zaidi ya kufanya kazi.

Bado sana.!.
 
Nina pc ilikuja na window 8 nikaweka window 7, kila mara inanipa taarifa ya upgrade to window 10, nahofia software zangu kama zitafanya kazi maana nimezipata kwa ghalama. Mfano autocad na antvirus
 
Nina pc ilikuja na window 8 nikaweka window 7, kila mara inanipa taarifa ya upgrade to window 10, nahofia software zangu kama zitafanya kazi maana nimezipata kwa ghalama. Mfano autocad na antvirus
kama aziendani na window 10 azitaonekana after Ku upgrade hla zikiendana zitabaki hila nawasi wasi na antivirus yako kutofanya kazi kwa asilimia kubwa hii Ni kutofikia kua kwenye window 10
 
baadhi ya games za direct x12 kuna cpu zimepata boost ya perfomance hadi asilimia 250. kama gpu yako inasuport direct x12 windows 10 ni must have hadi pc zenye pentium na celeron zimekuwa powerfull,
 
Nina pc ilikuja na window 8 nikaweka window 7, kila mara inanipa taarifa ya upgrade to window 10, nahofia software zangu kama zitafanya kazi maana nimezipata kwa ghalama. Mfano autocad na antvirus
AutoCAD 2016 pekee ndo inayokubali kufanya kazi kwenye windows 10, matoleo mengine yote vimeo.
 
Mimi natumia window 8.1 ila nataman ku upgrade kwenda window 10 tatizo ni hii window 8.1 haipo activated...nimejaribu njia kadhaa za kuactivate nimeshindwa msaada wakuu...ili na mimi ni enjoy hiyo window 10
 
Umejaribu njia gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…