hata mie haipo hiyo feature tungoje new update i hope itakuwepopia kwenye hizi updates za mwisho sipati feature ya cortana
ipo ndugu,ila inaji hide pale unapokuwa ume sellect Tanzania country,ukibadiri nchi ukaweka kama Usa itakuja mkuupia kwenye hizi updates za mwisho sipati feature ya cortana
Hapo Ni selection ya mode ya upigaji picha unayofanya, ziko tatu kwa mujibu wa simu yangu:- camera ya picha mnato, camera ya video Na "smart sequence"( ndio hiyo uliyotumia wewe) ambayo inatumika kupiga picha kitu au mtu aliye kwenye mwendo, sasa pale unapofungua Na kuona inachezacheza inakuonesha shots ulizochukua, kwa hiyo ukiingia kwenye menu yake utaona shots zote za hiyo picha Na kuchagua iliyotoka vizuri(hata simu yako inapendekeza), unai-save.Ila kuhusu picha kwenye kamera nikipiga picha ukiotizama inakuea Kama vile nimechukua kivideo fulan hivi yaan zinakuwa Kama zinacheza kidogo baada ya kuifungua ndipo inatulia hivyo Kama Aisha mwajua Ni dosari ya setting mnisaidie nifanye nini
ipo ndugu,ila inaji hide pale unapokuwa ume sellect Tanzania country,ukibadiri nchi ukaweka kama Usa itakuja mkuu
source?Kuna watu wanatumia window 10 doh,China wamepiga marufuku
Ina loopholes nyingi sana,vulnerable nk nk nk
Cyber securities,China wenyewe ,wataalamu wamepiga kelele sana ..source?
hizo ni kelele tu za waandishi wa habari microsoft haibi data na kama anaiba ni kwa kiasi kidogo sababu njia yake ya kupatia mapato ni kwa ajili ya kuuza vitu na sio kuuza data.Cyber securities,China wenyewe ,wataalamu wamepiga kelele sana ..
Window 10 dhaifu sana,kama unahifadhi siri zako,miamara zako ,na siri zako muhimu window 10 iepuke kama utakuwa na matumizi ya kawaida mziki nk we itumie tu