Windows 10 mobile latest build, removed FM radio app

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,096
2,270
Kwa wale wanaotumia baadhi ya simu za lumia zinazosaport windows 10, ka umechunguza utagundua kwamba ile stock FM app imeondolewa kabisa. Sasa kwa wale wanaopenda kusikiliza traditional FM radio itawalazimu ku-Stream au kutumia Third party FM players ambapo hakuna iliyo Bora kama ile iliyokuwa Built-In.

So Sad!!!
 
Dah!! Mi mwenyewe baada ya ku-update nashangaa kitu hola!! Hapa nimebakia tu na tunein radio ndio napata pata kina Clouds na East Africa radio. Wafanye waturudushie tu our traditional fm radio
 
sikuchunguza ndo nimekuja kugundua hapa sasa hivi dah i wish watatoa update nyingine hivi karibuni
 
Kwangu ilikia haipo ila Jana nilipogundua nikawa nimepakua nyingine sasa baada tu ya kuifungua ndio nikaona na Ile nyingine yajitokeza na nilipofuta niliyodwnload naona hii iliyobaki Ambayo Ni built in inafanya kazi
 
Ila kuhusu picha kwenye kamera nikipiga picha ukiotizama inakuea Kama vile nimechukua kivideo fulan hivi yaan zinakuwa Kama zinacheza kidogo baada ya kuifungua ndipo inatulia hivyo Kama Aisha mwajua Ni dosari ya setting mnisaidie nifanye nini
 
Ila kuhusu picha kwenye kamera nikipiga picha ukiotizama inakuea Kama vile nimechukua kivideo fulan hivi yaan zinakuwa Kama zinacheza kidogo baada ya kuifungua ndipo inatulia hivyo Kama Aisha mwajua Ni dosari ya setting mnisaidie nifanye nini
Hapo Ni selection ya mode ya upigaji picha unayofanya, ziko tatu kwa mujibu wa simu yangu:- camera ya picha mnato, camera ya video Na "smart sequence"( ndio hiyo uliyotumia wewe) ambayo inatumika kupiga picha kitu au mtu aliye kwenye mwendo, sasa pale unapofungua Na kuona inachezacheza inakuonesha shots ulizochukua, kwa hiyo ukiingia kwenye menu yake utaona shots zote za hiyo picha Na kuchagua iliyotoka vizuri(hata simu yako inapendekeza), unai-save.
 
baada ya latest update kuenable vpn kwa application sasa hivi inakataa
 

Attachments

  • wp_ss_20160905_0001 (2).png
    wp_ss_20160905_0001 (2).png
    20.5 KB · Views: 46
mbona mm natumia lumia 525 cm imekataa kuupdate? naombeni mnisaidie
 

Attachments

  • wp_ss_20160919_0001.png
    wp_ss_20160919_0001.png
    30.9 KB · Views: 42
natumia htc 7 trophy windows phone,nimejaribu kudownload whatsapp imekubali ila ninapojaribu kueka namba ya simu kuverify whatsapp inasema "cant register with this phone number.you can only register with the phone number that was last used with whatsapp on this phone".naomba msaada nifanyeje?
 
Kuna watu wanatumia window 10 doh,China wamepiga marufuku

Ina loopholes nyingi sana,vulnerable nk nk nk
 
Cyber securities,China wenyewe ,wataalamu wamepiga kelele sana ..

Window 10 dhaifu sana,kama unahifadhi siri zako,miamara zako ,na siri zako muhimu window 10 iepuke kama utakuwa na matumizi ya kawaida mziki nk we itumie tu
 
Cyber securities,China wenyewe ,wataalamu wamepiga kelele sana ..

Window 10 dhaifu sana,kama unahifadhi siri zako,miamara zako ,na siri zako muhimu window 10 iepuke kama utakuwa na matumizi ya kawaida mziki nk we itumie tu
hizo ni kelele tu za waandishi wa habari microsoft haibi data na kama anaiba ni kwa kiasi kidogo sababu njia yake ya kupatia mapato ni kwa ajili ya kuuza vitu na sio kuuza data.

angalia service za microsoft nyingi hazihitaji internet, mtu anatumia windows mwez mzima bila kuconect na internet, software za microsoft ni kama windows media player, microsoft office, games mbali mbali kama age of empire na flight simulator, paint, solitaire etc nyingi zao hapo ni za kulipia. Microsoft anapata hela kwa njia hio angalia hata mchanganuo wa mapato yake kiasi kidogo sana hupatikana kutokana na matangazo.

na hizo wanazoziita privacy issue kwenye windows 10 zote unaweza kuzieka off ukiamua, hulazimishwi.

wateja wakubwa wa microsoft ni enterprise, makampuni makubwa duniani yenye IT department zenye uwezo kuliko mimi na wewe, unaposikia umoja wa mashirika ya fedha wakisema wana update ATM machine duniani kote kwenda windows 10 si jambo la kitoto.

Na hao china ni wapinzani wa marekani ni kitu cha kawaida kusikia service za marekani kupata vikwazo, si microsoft tu hata google, apple, qualcomm etc nao huapata vitu kama hivyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom