ngapi unaweza kuzicontrol? feedback ni muhimu.
na kama nilivyosema matundu ni mengi kama pakacha kuna vitu vingi sana, juzi nasoma gsmarena kuna malware wanaexploit soc kama mediatek na kujipa root acess (hata kama hujaroot simu) na kujieka kama system file.
angalia hapa jukwaani wangapi wanalaalmikia matangazo kama monkeytest na wengineo? na ukitrace hizi app zote ni system files zimefikaje huko?