Windows 10 inazingua PC yangu

Windows 10 inazingua PC yangu

Tuyuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
3,292
Reaction score
1,935
Habari wakuu?

Mimi ninatumia HP Laptop. Hivi karibuni niliupdate kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10. Awali pc yangu ilikuwa ilikaa na chaji hadi masaa 6. Sasa haikai hata dakika 30. Na hata nikizima pc chaji inakwisha tu. Ni lazima nirudishe OS ya zamani ili kumaliza tatizo hilo ama kuna namna zingine?

Natanguliza shukrani.
 
Hujambo Mjukuu wangu? Unaposema ukizima PC charge inakwisha hili Suala haliingii akilini kabisa. Nadhani unatakiwa ku double check charging system ya computer yako. Hakikisha unatumia original adapter inayoingiza voltage stahiki kwa battery, badili battery ili kuweza ku trace matumizi ya charge. Windows ten has nothing to do with your PC charge.

Nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo.
Asante

Babu Kifimbo Cheza
 
Hili tatizo hata mm limenikumba ndg ,fanya hivi ujue kama kwako ni the same problem ,weka usb charge ya simu na simi yako iwepo oncharge ,kisha zima pc kama tatizo ni kama langu utakua pc imezima ila simu bado inapokea charge inamaana pc haijajizima kabisa sasa hold power button mpake pc izime kabisaaaa kwa kuona charge haingii kwenye simu yako hapo sasa inakua imezima sasa ,pole sana labda wataalam mtupe jibu tokea hapo ,ahsanteni
 
Ahsante sana babu.
 
Ahsante saba mkuu. Nitajaribu kufanya hivyo.
 
Tatizo la hapo siyo 0S (Operating system), update drive zako. Drive power state failure ni moja ya tatizo. Jinsi ya ku upadate drives
1. Nenda kwenye icon ya "c0mputer" (this pc) ktk window 8 na 10..
2. Right click ktk icon hiyo (this pc)
3. Click manage
4. Drive manager
5. Drives zenye warning sign (maranyingi inakuwa njano au nyekundu), click moja baada ya nyingine na uclick palipO andikwa update.. Ita update.. Hakikisha PC ipo kwenye internet

BBZ10
 
Sasa mm yangu hata kuconnect to internet haitaki kabisaaaa, nifanyaje mkuu
 
Naomba ueleze vizuri kuwa haiconnect kivip? Unatumia nini ktk connection? Namaanisha.. Modem, wifi, mobile au njia ipi na inakataa vp kuconnect?

BBZ10
 
Nimerejesha Win 8.1 sasa hilo tatizo hakuna tena.
 
Hili tatizo hata mm limenikumba ndg ,fanya hivi ujue kama kwako ni the same problem ,weka usb charge ya simu na simi yako iwepo oncharge ,kisha zima pc kama tatizo ni kama langu utakua pc imezima ila simu bado inapokea charge inamaana pc haijajizima kabisa sasa hold power button mpake pc izime kabisaaaa kwa kuona charge haingii kwenye simu yako hapo sasa inakua imezima sasa ,pole sana labda wataalam mtupe jibu tokea hapo ,ahsanteni

Ni kweli kabisa. HP yangu pia ina tatizo hilo, haizimiki hadi ubinye power button kwa dk 1+. Ukizima kawaida inakula chaji yote. Sijui tatizo ni mini. Natumia Win 8.1.
 
Nilkuwa na same problem kwa PC yangu ila liikuwa solved baada ya kuweka 8.1
 
Back
Top Bottom