danja de genzo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 544
- 812
Inamaanisha unaInstall program ya 32 bit kwenye Windows ya 64 bit au virce versaNaomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika
the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to see whether you need an x86 {32-bit} or x64 {64-bit} version of the program,and then contact the software publisher.
msaada wenu wakuu.
kwani 32bit huwezi kuinistall kwenye 64 bit system?Inamaanisha unaInstall program ya 32 bit kwenye Windows ya 64 bit au virce versa
huyu atakuwa anaingiza 64 bit kwenye 32 bitInamaanisha unaInstall program ya 32 bit kwenye Windows ya 64 bit au virce versa
Pia inaweza kua vice versa. .program kama Bitdefender ya 32bit huez weka kweny 64bithuyu atakuwa anaingiza 64 bit kwenye 32 bit
Kama alivyosema @ymollel una-install 32bit kwenye 64bit PC au 64bit version kwenye PC ya x86/32bit ambayo siyo sahihi. Itakuwa unajaribu ku-install kutoka kwenye removeable media kama DVD au USB flash driver. Ungekuwa una-install kutumia Internet ingeweza kucheki PC yako automatic na ku-download version sahihi ya mashine yako. Kwa sasa unatakiwa ujue mashine yako ni 32bit au 64bit ili utafute version sahihi.Naomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika
the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to see whether you need an x86 {32-bit} or x64 {64-bit} version of the program,and then contact the software publisher.
msaada wenu wakuu.
jui namna ya kutafuta mtaalamu nielekezetafuta manual ya pc yako kujua inatumia system gani ya 32bit au 64bit. coz window nazo zipo hivo kuna 32bit na 64bit.
ahsante kwa ushauri wako nimekupa mtaalamuKama alivyosema @ymollel una-install 32bit kwenye 64bit PC au 64bit version kwenye PC ya x86/32bit ambayo siyo sahihi. Itakuwa unajaribu ku-install kutoka kwenye removeable media kama DVD au USB flash driver. Ungekuwa una-install kutumia Internet ingeweza kucheki PC yako automatic na ku-download version sahihi ya mashine yako. Kwa sasa unatakiwa ujue mashine yako ni 32bit au 64bit ili utafute version sahihi.
yap! ila window ya 32 bit unaweza kuweka kwenye 64 bitPia inaweza kua vice versa. .program kama Bitdefender ya 32bit huez weka kweny 64bit
Naomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika
the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to see whether you need an x86 {32-bit} or x64 {64-bit} version of the program,and then contact the software publisher.
msaada wenu wakuu.
ok ahsante ,yangu inaonyesha 32 bit inamaana ni ndogo sana.Dogo... Fanya hivi:
Nenda kwenye my computer, right click then nenda option ya chini kabisa ya Properties.
View attachment 498322
Itakuonesha ni 32 bit au 64 bit kama mie ilivonionesha hapa chini...
View attachment 498323
sawa mkuu nimeangalia nimekuta kama ulivyosema, kwahiyo window hii aifanyi kazi kwenye pc yanguThe error message you are getting normally means you have a 32-bit software that you are trying to install on a 64-bit system.
Tafuta inayoendena na specs za Comp yako mkuu.sawa mkuu nimeangalia nimekuta kama ulivyosema, kwahiyo window hii aifanyi kazi kwenye pc yangu
Tafuta inayoendena na specs za Comp yako mkuu.[poa
Key zipi hazifanyi kazi FN key au keys zote? Na kwa HP yako ina OS version ipi Windows 7, 8, au 10?PIA NAOMBA UNISAIDIE SHORTCUT KEY ZANGU AZIFANYI KAZI NIMEJALIBU KUDOWNLOAD BAADHI YA APPLICATION LAKINI BADO NATUMIA HP ELITEBOOK 8470p.
ina window 8Key zipi hazifanyi kazi FN key au keys zote? Na kwa HP yako ina OS version ipi Windows 7, 8, au 10?
ina window 8
Mkuu download Sam driver pack. Mwisho wa maneno. Hapo utapata driver nying na tatizo litakwishaina window 8