Windowless plane,mwaka mpya mambo mapya

Wakati wenzetu wanawaza namna ya kujitangaza kisayansi, teknolojia na mawasaliano, sisi tunawaza namna ya kupiga madeal ya wizi wizi.
 
Wakati wenzetu wanawaza namna ya kujitangaza kisayansi, teknolojia na mawasaliano, sisi tunawaza namna ya kupiga madeal ya wizi wizi.

Ipo siku may be just may be
 
Nimekubali
 

Attachments

  • 1420209180364.jpg
    25 KB · Views: 321
Duh hawa jamaa hatuthamini kabisa sisi abiria waoga maana mimi natamani ndege isiwe na madirisha kabisa.
 
hii ni ndege maana sjaelewaelewa?? windowless inamaana imezibwakote hamna dirisha kabisa,? au windowless patapotakiwa kuwepo dirusha poko wazi/open! au macho yangu hakiyanani.
 
hii ni ndege maana sjaelewaelewa?? windowless inamaana imezibwakote hamna dirisha kabisa,? au windowless patapotakiwa kuwepo dirusha poko wazi/open! au macho yangu hakiyanani.

Haina madirisha kama ndege za kawaida badala yake wameweka kioo mwanzo mwisho, natamani siku moja nipande zitaanzia London
 
What are they trying to save by not installing windows?Any technological benefits?
 
What are they trying to save by not installing windows?Any technological benefits?

They are not saving anything, besides naona wamechoka na madirisha madogo, hapo utaona anga lote kwa raha zako imagine unatembea humo utafikiri uko nje na hiyo itanishawishi nipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…