Window shopping Malindi nightclub

Agogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
2,742
Reaction score
3,012
Jana usiku nilikua malindi club Hapa Moshi moyo uliniuma sana mabinti wadogo wazur balaa wanauza papuchi. hivi ni maisha magumu au ni starehe yao ? Nikachagua mmoja maridad kabisa short time elf10 na 40,000 take away mpaka asbh...du! Hawa wengine ni wake na wachumba wa watu!! Mwanaume hujui
 
Hongera na ahsante kwa taarifa. Baada ya miezi mitatu nenda kapime afya yako
 
Sasa kama moyo ulikuuma kwa nini ulichukua mmoja wapo? Acha kuzuga wewe!
 
Mkuu window shopping watu hawaondoki na mzigo,wanapiga chabo tu na kusepa. sa mbona wewe uliondoka nao? Hicho ulichofanya manhunt. Ila hongera mwanangu kwa kuvua sato, ni mmachame, mkibosho au mrombo?
 

Mhh hata mwezi mtukufu biashara chafu inaendelea?
 
Hapo malind mpaka kuna walimu wa kike wanajiuza nakumbuka nilikuwa field hapo tanesco kila ikifka jioni wakat wa kurud nyumban unawaona wa kila aina!
 
Hapo malind mpaka kuna walimu wa kike wanajiuza nakumbuka nilikuwa field hapo tanesco kila ikifka jioni wakat wa kurud nyumban unawaona wa kila aina!

MKUU uliwajuaje kuwa ni walimu? kwani wanayo lebo inayowatambulisha? Anyway hata kama ni walimu kwani kunaubaya gani kutoa mchango wao kwenye kuburudisha jamii?
 
MKUU uliwajuaje kuwa ni walimu? kwani wanayo lebo inayowatambulisha? Anyway hata kama ni walimu kwani kunaubaya gani kutoa mchango wao kwenye kuburudisha jamii?

namfahamu kwa vile anafundisha shule iliyopo mtaa namoishi, tatzo sio kuburudisha jamii bali anawafundisha nin wanafunz wake wa kike unafkir wakikutana huko nightclub wakifika shule lazima heshma ipungue
 
Mangi jr kwani hakuna walimu wa kiume wanaonunua hiyo huduma?
 
Nasubiri comment ya expert mmoja hapa
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ebu tupe mauzoefu kiduchi

 
Wanaume wa kada zote ni wateja wa hii biashara hivyo pia wanawake wa kasa mbalimbali wanajihusisha na hii biashara si lazima uwakute kwenye kumbi za starehe
 
Hongera na ahsante kwa taarifa. Baada ya miezi mitatu nenda kapime afya yako
asilimia kubwa ya watu wenye virus ni waliopo ktk ndoa kama huamini katafute data. Hizi za kununua nyingi zipo salama mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…