dreamchaser18
Member
- May 21, 2014
- 88
- 36
Habari wakuu naomba kuuliza window gani itafaa kwenye PC yenye RAM 1GB mbali na XP? na inawezekana kudownload window from net?
Nashukuru kwa majibu .....processor ni 1.66GHzwindows zote win xp, vista, 7 8 na 10 zinakubali pc yenye ram 1GB sema hazitakuwa na speed ya kueleweka. ram unaweza kuongeza lakin, ram ya 2GB unaipata around 15,000 hadi 20,000. pc yako ina processor gani?
kuhusu mbadala zipo distro za linux ambazo ni nyepesi zinakubali kwenye ram ya 1GB kama vile zorin os.
download hapa zorin, vyema pia chagua lite version sababu ni nyepesi zaidi
Index of /Linux/simosnet-livecd/zorin
nenda my computer then right click halafu properties kujua jina halisi la hio processor, ulichonitajia sio jina ni clock speed tu
T2300 @ 1.66GHznenda my computer then right click halafu properties kujua jina halisi la hio processor, ulichonitajia sio jina ni clock speed tu
hii cpu inarun windows kubwa, eka hata win 7 lakini upgrade ram kwanza.T2300 @ 1.66GHz
1.66GHz. 0.99 of ram.
Kuhusu ram ya 2GB inapatikanaje
Shukurani sana chiefhii cpu inarun windows kubwa, eka hata win 7 lakini upgrade ram kwanza.
nenda machinga complex zipo, na nafkiri hio ni ddr2,
pia kupatana naziona, kama hii 18,000
DDR2 Laptop RAM Dar es Salaam 1177432 | Kupatana
Tumia window 7 starter. Ni light version ya window 7. Ukitumia win7 professiona or ultimate kwa hiyo RAM mashine itakuwa nzito.Habari wakuu naomba kuuliza window gani itafaa kwenye PC yenye RAM 1GB mbali na XP? na inawezekana kudownload window from net?
windows zote win xp, vista, 7 8 na 10 zinakubali pc yenye ram 1GB sema hazitakuwa na speed ya kueleweka. ram unaweza kuongeza lakin, ram ya 2GB unaipata around 15,000 hadi 20,000. pc yako ina processor gani?
kuhusu mbadala zipo distro za linux ambazo ni nyepesi zinakubali kwenye ram ya 1GB kama vile zorin os.
download hapa zorin, vyema pia chagua lite version sababu ni nyepesi zaidi
Index of /Linux/simosnet-livecd/zorin
Haya ma linux mzee kama naona bongo yameshindikana yaani kila nikijaribu hayaeleweki maana application karibia zote tunazotumia hapa bongo ni " Microsoft oriented"windows zote win xp, vista, 7 8 na 10 zinakubali pc yenye ram 1GB sema hazitakuwa na speed ya kueleweka. ram unaweza kuongeza lakin, ram ya 2GB unaipata around 15,000 hadi 20,000. pc yako ina processor gani?
kuhusu mbadala zipo distro za linux ambazo ni nyepesi zinakubali kwenye ram ya 1GB kama vile zorin os.
download hapa zorin, vyema pia chagua lite version sababu ni nyepesi zaidi
Index of /Linux/simosnet-livecd/zorin
microsoft windows mkuu ndio bora, tena uipate latest version yaani windows 10.Heshima kwako mkuu,hivi kati ya is za Microsoft na hizi zingine mfano Ubuntu IPI ambayo in bora zaidi kwa matumizi ya kawaida
yah ni kweli lakini kwa matumizi ya kawaida sio mbaya sababu ukishaeka browser kama firefox na media player nzuri umeshatimiza 99% ya matumizi ya kawaida.Haya ma linux mzee kama naona bongo yameshindikana yaani kila nikijaribu hayaeleweki maana application karibia zote tunazotumia hapa bongo ni " Microsoft oriented"
MREJESHO.....Shukurani chief nilifanikiwa kuupgrade ram nilapa Ddr 2 2GB saizi nimepiga window 10 inarun vzur..na program zilikowa zinagoma kwenye XP saizi naenjoywindows zote win xp, vista, 7 8 na 10 zinakubali pc yenye ram 1GB sema hazitakuwa na speed ya kueleweka. ram unaweza kuongeza lakin, ram ya 2GB unaipata around 15,000 hadi 20,000. pc yako ina processor gani?
kuhusu mbadala zipo distro za linux ambazo ni nyepesi zinakubali kwenye ram ya 1GB kama vile zorin os.
download hapa zorin, vyema pia chagua lite version sababu ni nyepesi zaidi
Index of /Linux/simosnet-livecd/zorin