Alternative nunua TV kubwa, kisha unaweza kutumia laptop ila iwe na uwezo tumia ultra view desktop manager ku splitt na utapata screen 4 tofauti kwa tv yako na uta run hizo soft au tabs kama vile upo na monitor 4.Nataka kutengeneza kitu kama hiki.
Nahitaji CPU yenye specification zipi?View attachment 1408729
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo lakini sio direct na ndomaan seller wengi online hawaship kuja Tz kwa sababu hiyoHukuelewa kuhusu ndege za mizigo, ndege za mizigo zipo na huwa zinakuja, walichomaanisha ndege za abiria hazitaruhusiwa kuja nchini isipokua ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kwa utaratibu wa waongozaji kuwekwa karantini kwa gharama zao.
Hiyo sio sababu, wauzaji wana uwezo wa kutuma mzigo popote, ukiona hatumi mzigo TZ ujue hajakusudia kuuza soko la TZ au Africa.Zipo lakini sio direct na ndomaan seller wengi online hawaship kuja Tz kwa sababu hiyo
Kwenye transshipment mziko ni rahisi kuwa damaged or kupotea ambayo ni hasara kwe seller. Hiyo ni moja ya reason.Hiyo sio sababu, wauzaji wana uwezo wa kutuma mzigo popote, ukiona hatumi mzigo TZ ujue hajakusudia kuuza soko la TZ au Africa.
Sawa mkuu zilete angalia machine kama hii matumizi ya kinyumbani inatafuna kila kitu, gaming, video editing, home server etc
https://www.bestbuy.com/site/cyberp...d-white/6362429.p?skuId=6362429&intl=nosplash
Issue kubwa ni namna ya kuisafirisha tu.
tuanze hapa mkuu, pentium gold kwa zaidi ya milioni hapana, hapa ni wizi wa mchana mchana, kuna desktop za laki 2 kkoo zina nguvu kushinda hio. ndio maana unaona hata reviews ni 1 star out of five.Kuna hii
TZS 1,099,988.36 30% Off | IPASON CHEAP Gaming PC Intel 8th Gen G5400 RX560 4G 16G RAM support DVI/HDMI/DP Desktop Computers For Game LOL/TOMB RAIDER/WOW
US $475.3 30% OFF|IPASON CHEAP Gaming PC Intel 8th Gen G5400 RX560 4G 16G RAM support DVI/HDMI/DP Desktop Computers For Game LOL/TOMB RAIDER/WOW|Desktops| | - AliExpress
hii kidogo mkuu ina afadhali, ila ukisoma maelezo yao wanaonekana jamaa hata hawajui wanachofanya kuna uwezekano vitu kama power supply, cooler na vitu vyengine vidogo vidogo vikawa ni low quality. ila kwa ryzen 5 na 1060 hio bei ni nzuri.TZS 1,704,090.95 33% Off | AMD Gaming Computer PC Ryzen5 2600/GTX1060 3G DDR4 8G/16G RAM 256G SSD PUBG/GTA5 High-End Desktop Assembly Machine Complete Set
US $736.33 33% OFF|AMD Gaming Computer PC Ryzen5 2600/GTX1060 3G DDR4 8G/16G RAM 256G SSD PUBG/GTA5 High End Desktop Assembly Machine Complete Set|Desktops| | - AliExpress
hii pia bei sio mbaya ila perfomance wise haina maana, zipo desktop kibongo bongo zina nguvu kushinda hiiTZS 711,717.70 33% Off | IPASON CHEAP Gaming PC Quad-Core AMD Ryzen3 2200G/DDR4 8G RAM/120G SSD/1T+240G SSD Desktop Gaming Computers
US $307.53 33% OFF|IPASON CHEAP Gaming PC Quad Core AMD Ryzen3 2200G/DDR4 8G RAM/120G SSD/1T+240G SSD Desktop Gaming Computers|Desktops| | - AliExpress
hii pia nisingenunua kwanza haina dedicated gpu na pia power supply ndogo itakukwammisha mbele ya safari, na bei pia ni kubwa.TZS 1,180,988.98 30% Off | 8th Gen Intel IPASON M5 Office Desktop computer/Gaming PC i5 8400 Hexa-Core DDR4 8G RAM 1THDD+120G SSD Mini-gaming PC
US $510.3 30% OFF|8th Gen Intel IPASON M5 Office Desktop computer/Gaming PC i5 8400 Hexa Core DDR4 8G RAM 1THDD+120G SSD Mini gaming PC|Desktops| | - AliExpress