Window laptops Vs Macbook laptops

Binafsi nashauri kutumia windows pc kwa sababu hata upatikanaji wa software zake ni rahisi kuliko mac. Tatizo kubwa sisi tunatumia mashine low end kwa ajili ya kazi kubwa tofauti na apple computers ambaye anakulazimisha kuupgrade kila kitu kuanzia hardware hadi software zake.
 
Dha kuna iyo moja ya dell inaitwa ALIENWAVE M15 - M17 hizi ni kwaajili ya magemu lakin spc zake ni hatari , Saiv sina tu mihamala lkn lazima nije nichukue M17 kwa ajili ya mambo yangu
bonge moja la dude. kuna wale wahuni wa predator nao wana pc gaming nzuri hata kwa kufanyia desining zinafaa
 
Bei sawa na gari🤣
Kama ni kibiashara kama hivyo inaweza isiwe ishu. Wekeza pesa upate pesa.
 
Bei sawa na gari🤣
Kama ni kibiashara kama hivyo inaweza isiwe ishu. Wekeza pesa upate pesa.
Kama cinema wanaweka kuna kipindi quality kabla hawajafunga walikuwa na multi monitor/tv moja kubwa sana.

Na proffesional na gamers wengi siku hizi wana multi monitor setup.
 
Kwanini usitafute laptop za Microsoft Surface? Yapo matoleo kadhaa kwahiyo uangalie inayokufaa.
 

Mzee mwenzangu! Hizi ipason una uzoefu nazo!? Nimezama aliexpress nimekutana nazo kibao.
 
Mzee mwenzangu! Hizi ipason una uzoefu nazo!? Nimezama aliexpress nimekutana nazo kibao.
Na mimi ndio nimezisikia kwako, kwa desktop hamna neno unaangalia tu components kama zina value ila kwa vitu complicated kama laptop na All in one pc kaa nao mbali.
 
Na mimi ndio nimezisikia kwako, kwa desktop hamna neno unaangalia tu components kama zina value ila kwa vitu complicated kama laptop na All in one pc kaa nao mbali.

Nahitaji desktop moja ya kibabe.

Nikitulia nitazileta kadhaa hapa tuzicheki.
 
Europe although sijajua nchi gani coz habari niliikutia mwishoni
 
D
Nataka kutengeneza kitu kama hiki.

Nahitaji CPU yenye specification zipi?View attachment 1408729

Sent using Jamii Forums mobile app
Desktop yoyote ukifunga video card yenye output 4 unakamilisha, kuhusu performance unaweza chagua kuanzia core i5 2nd generation na kuendelea na Ram 4GB iwe minimum, 8GB ni nzuri zaidi kwasababu ya browser tabs zinatabia ya kutafuna RAM ya kutosha.
Mengine unaweza funga SSD kuongeza reading & writing speed hasa unapofungua programs na kuwasha computer.
 
Europe although sijajua nchi gani coz habari niliikutia mwishoni
Hukuelewa kuhusu ndege za mizigo, ndege za mizigo zipo na huwa zinakuja, walichomaanisha ndege za abiria hazitaruhusiwa kuja nchini isipokua ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kwa utaratibu wa waongozaji kuwekwa karantini kwa gharama zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…