sam wilfred
Member
- Nov 23, 2014
- 10
- 9
Uzuri wa PC hauko kwenye Brand Bali unachotaka kufanya, sema software yako nzito kabisa unayotaka kutumia then tutaangalia requirement zake na kuchagua specs kutokana na requirements.Unadhani sasa ni pc gani iko vizuri zaidi kati ya dell Hp Acer na nyinginezo
Issues nzima za designing, editing pamoja na graphics na mostly huwa natumia Adobe Master collection na kazi zangu nyingi natumia adobe illustrator, adobe photoshop, Adobe premier pro, pamoja na adobe after effect.Uzuri wa PC hauko kwenye Brand Bali unachotaka kufanya, sema software yako nzito kabisa unayotaka kutumia then tutaangalia requirement zake na kuchagua specs kutokana na requirements.
At minimum kwa budget Ndogo Kama unafanya serious Editing utahitaji laptop ya Ryzen 5 ambazo zinapatikana as low as dola 400 ambayo ni Kama milioni 1 hivi.Issues nzima za designing, editing pamoja na graphics na mostly huwa natumia Adobe Master collection na kazi zangu nyingi natumia adobe illustrator, adobe photoshop, Adobe premier pro, pamoja na adobe after effect.
Kama una Budget nzuri kuanzia dola 800 unapata laptop za i7 8750 ambazo Zina nguvu kushinda desktop yoyote ile ya i7 7th gen kishuka (mainstream). Na utapata GPU decent Kama Nvidia gtx 1050 tiIssues nzima za designing, editing pamoja na graphics na mostly huwa natumia Adobe Master collection na kazi zangu nyingi natumia adobe illustrator, adobe photoshop, Adobe premier pro, pamoja na adobe after effect.
Alienware zipo vizuri ila nazo kuwa makini nyingi ni overpriced.Dha kuna iyo moja ya dell inaitwa ALIENWAVE M15 - M17 hizi ni kwaajili ya magemu lakin spc zake ni hatari , Saiv sina tu mihamala lkn lazima nije nichukue M17 kwa ajili ya mambo yangu
Duh hii kitu hatari umenifungua mawazo aise shukranKama una Budget nzuri kuanzia dola 800 unapata laptop za i7 8750 ambazo Zina nguvu kushinda desktop yoyote ile ya i7 7th gen kishuka (mainstream). Na utapata GPU decent Kama Nvidia gtx 1050 ti
Mkuu i7 7500u sio processor nzuri kwa watu ambao wapo serious na Video editing, inapitwa Hadi na i3 kwenye series za proffesional.Kama una pesa nenda Macbook Pro hutajutia, nina laptop moja inayotumia platform ya window: HP ENVY CORE i7-7500U, 16gb ram ssd na nyingine inatumia MacBook Pro: 8gb ram, kwenye perfomance MacBook is always above. changamoto iko kwenye space, MacBook yenye storage ya 512 SSD ni gharama sana
Sawa Mkuu! sikujua hiliMkuu i7 7500u sio processor nzuri kwa watu ambao wapo serious na Video editing, inapitwa Hadi na i3 kwenye series za proffesional.
Kama una Budget nzuri kuanzia dola 800 unapata laptop za i7 8750 ambazo Zina nguvu kushinda desktop yoyote ile ya i7 7th gen kishuka (mainstream). Na utapata GPU decent Kama Nvidia gtx 1050 ti
Issue ya desktop mkuu ngumu kununua vifaa nje maana ni vizito. Kama una mtu nje anayeweza kusaidia kufanya manunuzi na kukuletea tengeneza mwenyewe around Ryzen 5 3600, na rtx 1660 itakuja around hio budget, angalia zaidi hapaKwa bajeti hiyo ama kushuka mpaka dola 500 nitapata desktop gani nzuri zaidi, hata kama itakuwa machine tupu kioo nitatumia hata tv.
Nataka kutengeneza kitu kama hiki.Issue ya desktop mkuu ngumu kununua vifaa nje maana ni vizito. Kama una mtu nje anayeweza kusaidia kufanya manunuzi na kukuletea tengeneza mwenyewe around Ryzen 5 3600, na rtx 1660 itakuja around hio budget, angalia zaidi hapa
Completed Builds Using AMD Ryzen 5 3600 3.6 GHz 6-Core Processor
Alternative kwa budget ndogo nunua machine used hapa Tanzania i7 na kuendelea then unai upgrade vitu kama ssd, gpu, ram etc. I7 used unazipata around laki 5 hivi.
Sema kuwa makini hakikisha power supply yake ni ya pin 24 na sio pin 8, kuna desktop zinatumia proprietary power supply ambazo ni ngumu kuzi upgrade.
Alternative nyengine ni kujilipua na capricon ila sikushauri unless umekosa option zote maana bei zake ni almost double ama triple msrp.
COOLER MASTER i7 PC - Capricorn Technologies
Nataka kutengeneza kitu kama hiki.
Nahitaji CPU yenye specification zipi?View attachment 1408729
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mdau hapo juu alivyokuambia, Gpu ni muhimu zaidi, na Display port ni nzuri kushinda Hdmi linapokuja suala la monitor.Nataka kutengeneza kitu kama hiki.
Nahitaji CPU yenye specification zipi?View attachment 1408729
Sent using Jamii Forums mobile app