window 7 proffesional ambayo ime corrupt nataka kuitoa hii na kuweka nyingine kama hiyohiyo but ninapoinstall ikifika pale kwenye kurestart kompyuta inaporestart ikiwaka inaanza upya yani yataka tena nichague lugha na kwenda mbaka pale inaporestart na mtindo ni uleule, sasa sijui nifanyeje kijana mwenzenu.. NABOOT KUTOKA KWENYE USB