Window 7 professional activation/crack

Window 7 professional activation/crack

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Wakuu msaada jinsi ya kuactivate/validate win 7 professional, kama kuna mtu mwenye link naomba msaada.
 
Ngoja na mie nijaribu


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
option nyingine uwe connected kwenye internet then fundua CMD COMMAND RUS AS ADMIN
kisha andika SLMGR -REARM . halafu hit enter baada ya sekunde chache itakwambia successful uta restart pc yako itakuwa ok.
 
Back
Top Bottom