WINDOW 10 SIWEZI KUINSTALL APP YOYOTE

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Habarini

Mara ya Mwisho Nilifanikiwa Kuinstall Window 10 katika Computer yangu ya Lenovo Lakini changamoto kubwa ninayopata ni kuwa Siwezi Kuinstall Application Yoyote ilee hata nikiweka Kwenye flash disk nikahamishia Kwenye computer inakuwa converted kwenye Format ambayo siwezi Kuinstal Na kupata Ujume Cannot open the current app click publisher

Hata Document yoyote ukiweka haiwezi kufunguka Swali Ni Je shida Ni nini na Nitatua Vipi
 
hata yangu ipo hivyo
ngoja waje wataalamu
 
Yakwangu pia inashida hiyo na nilitaka next week nikairejeshee window7 maana haikunisumbua kama hii10

Back
Top Bottom