Usipolipia windows wanatoa tu uwezo wa kubadili desktop wallpaper Na wanaweka watermark yao Activate windows.
Na yenyewe pia unaweza kubypass unaenda file explorer na ku right click picha kisha chagua set as desktop background.
Siku hizi windows ni bure tu, hasa kwa sisi wateja wa kawaida