MAULA JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,056 Reaction score 171 Sep 4, 2013 #1 kila nikiwasha mashine inatokea information ikionyesha error ya win32system so inatatuliwaje hiiimsaada plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
kila nikiwasha mashine inatokea information ikionyesha error ya win32system so inatatuliwaje hiiimsaada plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
A askyade Member Joined Jul 22, 2013 Posts 90 Reaction score 10 Sep 4, 2013 #2 Tafuta software kwenye internet inaitwa Hijackthis kisha download na install, Kisha i-run utakuta katika search yake kuna result za hiyo win32 error piga tick kisha delete. umemaliza mkuu restart hautaiona tena.
Tafuta software kwenye internet inaitwa Hijackthis kisha download na install, Kisha i-run utakuta katika search yake kuna result za hiyo win32 error piga tick kisha delete. umemaliza mkuu restart hautaiona tena.
MAULA JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,056 Reaction score 171 Sep 6, 2013 Thread starter #3 Poa ngoja niifanye hiyo