Win iphone 6

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Ivi hii habari ni kweli jamani?

Did you hear about new Apple Store? They have a promotion where you could win an iPhone6! Visit their award centre website -->> http://apple.gifts-centers.com/uk/iphone6 . I just won one of 16GB! There are still 500 iPhones left.
 
hivi una akili kweli wewe???au ndo copy n paste???

Mi akili sina mkuu ila nimeona ni copy na ku paste ili wenye akili kama wewe mnisaidie kuthibitisha juu ya taarifa hii.
Ubalikiwe uliyejaaliwa akili.
 
Mi akili sina mkuu ila nimeona ni copy na ku paste ili wenye akili kama wewe mnisaidie kuthibitisha juu ya taarifa hii.
Ubalikiwe uliyejaaliwa akili.
​me mwenyewe akili yangu ndogo lakini nimegundua haraka post yako.............kama ni copy n paste sawa, lets try to find out the truth
 
​me mwenyewe akili yangu ndogo lakini nimegundua haraka post yako.............kama ni copy n paste sawa, lets try to find out the truth

Hicho ndo nilikuwa nakitafuta mimi mkuu. Ukweli kuhusu hii habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…