Win car from be forwad

Si C.T.U kaja katuambia habari zao hao jinsi walivyo? Au sio hao?
 
Last edited by a moderator:
we kila thread unaweka tangazo lako! Unaboa sana ukizingatia mkuu C.T.U amewalalamikia kuhusu huduma zenu zilivyo mbovu
 
Last edited by a moderator:
Kwa huyo dada mwenye nyodo ha ofisini kwz beforward, hata wangegawa bure sihitaki tena kuwajua
 
Yule bibie mwenye mashauzi mzima??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…