habazi zenu raia na wasio raia wa bongo napenda niwajuze hiki kitu kidogo tu cha beforward najua wengi wetu tumeona matangazo kibao katika mitandao ila mi naongeza tu kua tuchangamkie fursa wala hiutaji kujiuliza mara mbili we ni kujisajili bas kwa kutumia facebook au akaunt kwa kutumia site yao
What they are doing is called data mining! wanataka kujua ni vitu vya aina gani vinavyowavutia watu ndani na nje ya gari. ndio maana watakwambia ujaze maelezo in detail (uandike essay) ya gari linalokuvutia. WAONGO!