Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,565
Tumebakiza masaa 2 tuweze kumuaga rafiki yetu huyu tuliekaa nae siku 365 na hatutamuona tena
itabaki historia kua tuliwahi kuwa nae..
Siku ya leo huu wimbo ndio umenifungia mwaka 2018 na utanifungulia mwaka 2019.. mpaka sasa naona nimeusikiliza karibia x 200 ila siuchoki
Kwaya ya Joseph mfanyakazi kijenge-Arusha. . MIGUU YANGU.
unaruhusiwa kuweka wako tufurahi pia
Kwa wale wa Audio..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
itabaki historia kua tuliwahi kuwa nae..Siku ya leo huu wimbo ndio umenifungia mwaka 2018 na utanifungulia mwaka 2019.. mpaka sasa naona nimeusikiliza karibia x 200 ila siuchoki
Kwaya ya Joseph mfanyakazi kijenge-Arusha. . MIGUU YANGU.
unaruhusiwa kuweka wako tufurahi pia
Kwa wale wa Audio..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk