Na bendera ipunguzwe rangi! Toa rangi ya blue maana tayari bahari inaonekana kwenye ramani!
Unganisha Mwanza, Geita, kagera, shinyanga, simiyu ita KANDA YA ZIWA... Dar, lindi,Mtwara, Moro na pwani yenyewe ita MWAMBAO WA PWANI...
Bungeni kuwe na wawakilishi wa Kanda tu!
Aaah... Yote haya tuyaweke kwenye kundi Moja! KATIBA MPYA YENYE MENO!
HahahahaNa bendera ipunguzwe rangi! Toa rangi ya blue maana tayari bahari inaonekana kwenye ramani!
Unganisha Mwanza, Geita, kagera, shinyanga, simiyu ita KANDA YA ZIWA... Dar, lindi,Mtwara, Moro na pwani yenyewe ita MWAMBAO WA PWANI...
Bungeni kuwe na wawakilishi wa Kanda tu!
Aaah... Yote haya tuyaweke kwenye kundi Moja! KATIBA MPYA YENYE MENO!
Ila watanzania sisi.😂mi naona warudie kuutunga coz wakati wanautunga hatukuwepo.
DUBWI WEE..😁mi naona warudie kuutunga coz wakati wanautunga hatukuwepo.
Nitaifa gani lina wimbo wa aina hii? Ndio maana uzalendo wetu unalegalega sana. Unaanza kwa kuimbea Afrika kisha ndo uiombee nchi yako. Waliotunga wimbo tuwashukuru lakini sio vibaya tukifanya mabadiliko kidogo. Kama ikishindikana kukiondoa kipande cha Mungu ibariki Afrika basi wimbo uanze na Mungu ibariki Tanzania kisha ndiyo Mungu ibariki Afrika, Huwezi kuanza kwa kumuombea jirani kabla ya kujiombea mwenyewe.Kanuni ya maombi ni kuwaombea wengine kabla ya kujiombea wewe mwenyewe. Hayo ndio maombi yenye nguvu.Mungu hapendi ubinafsi km alivyo mwanadamu.
Ni kweli halafu hicho kipande cha Mungu ibariki Afrika, wabariki viongozi wake, kina dosari, tunamwomba Mungu kuwabariki viongozi ambao ni majizi na wauaji kwa nia ya kujitajirisha wao.Time management, tuokoe muda wa kuimba wimbo mrefu bila sababu.
Afrika (AU) ina wimbo wake, SADC ina wimbo wake na East Africa ina wimbo wake pia hivyo Tanzania hatuna sababu ya kurudia kuimba wimbo wa kuiombea Africa kwenye wimbo wetu. Kufanya hivi ni kurudia bila sababu kile kinachofanywa na Wimbo wa African Union na kusababisha wimbo wetu kuwa mrefu bila sababu...