TODO JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 219 Reaction score 63 Feb 13, 2013 #1 Wazee wa leka dutigite mmetisha kwa kwel.kwa wasiojua leo kwenye ukumbi wa aicc nssf wamezindua wimbo wao rasmi ulioibwa na kigoma all star.kwa kweli kwa mtazamo wangu wametisha sana.chege chibunda amenikosha na wote kwa ujumla. nawasilisha
Wazee wa leka dutigite mmetisha kwa kwel.kwa wasiojua leo kwenye ukumbi wa aicc nssf wamezindua wimbo wao rasmi ulioibwa na kigoma all star.kwa kweli kwa mtazamo wangu wametisha sana.chege chibunda amenikosha na wote kwa ujumla. nawasilisha
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,138 Feb 13, 2013 #2 Kazi ya NSSF sio kuimba.....tunataka mafao right on time period!
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,918 Feb 13, 2013 #3 hii nchi kweli imepoteza uelekeo watu wanaacha mambo ya msingi wanaimba bongo flavour
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,138 Feb 13, 2013 #4 taamu said: hii nchi kweli imepoteza uelekeo watu wanaacha mambo ya msingi wanaimba bongo flavour Click to expand... Wanatafuta kitu inaitwa endearment
taamu said: hii nchi kweli imepoteza uelekeo watu wanaacha mambo ya msingi wanaimba bongo flavour Click to expand... Wanatafuta kitu inaitwa endearment
Mwakalinga Bujo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2008 Posts 2,718 Reaction score 1,443 Feb 13, 2013 #5 Hi namna ya kuhalalisha matumizi ya kifisadi
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Feb 13, 2013 #6 Safari_ni_Safari said: Kazi ya NSSF sio kuimba.....tunataka mafao right on time period! Click to expand... Kaka unakunywa safari moto au baridi?aminia mkuu
Safari_ni_Safari said: Kazi ya NSSF sio kuimba.....tunataka mafao right on time period! Click to expand... Kaka unakunywa safari moto au baridi?aminia mkuu
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,138 Feb 14, 2013 #7 Mc Tilly Chizenga said: Kaka unakunywa safari moto au baridi?aminia mkuu Click to expand... Safari ni Safari tu............iwe moto au baridi biloko ni ileile......since 1977.........:welcome:
Mc Tilly Chizenga said: Kaka unakunywa safari moto au baridi?aminia mkuu Click to expand... Safari ni Safari tu............iwe moto au baridi biloko ni ileile......since 1977.........:welcome: