fani si utani - RAS LIONSalaam wapendwa.Kama heading inavyosomeka hapo juu,mwenye huo wimbo wa Ras Lion (huyu wa wa2ku2) anisaidie tafadhali,nimekumbuka nyimbo za zamani mnoooo.AHSANTENI
Najaribu kudownload inakataa
Umeusikiliza lakini?Najaribu kudownload inakataa
Nimeusikiliza kudownload ndio inakataaUmeusikiliza lakini?