Wimbo wa mtalimbo umelala dolo kaimba nani?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Jamani naomba wajuzi wa taarabu (Rose, Cheusi, FirstLady, Preta, Mtende, n.k) mnijuze wimbo wa mtalimbo umelala dolo kaimba nani, na ikiwezekana mnipe vionjo vya mabeti kidogo. Mashaallah mkinijuza maana mtunzi anatupa ujumbe gani?

Ukiimbwa nasikia kama naimbiwa mimi.
 
Kwakuwa umesha wataja wakukujuza Mr Kashaijabutege mimi sina chakukwambia zaidi nenda BASATA!
 

Unasikia unaimbiwa ww?ray2:
 
Mwimbaji ni fundi wa kuziba pancha, sasa baada ya kutoa tiubu ya tairi mtalimbo akautupia pale ndiyo umelala sasa kama unashida faster muone ili akuelekeze sababu za kuutupia chini mpaka ulale doro
 
kwa wale watu wa zamani ..........ulikuwa ukiimbwa 'mdodoki' na sio 'mtarimbo'
 
kwan we umelala doro?
kaimba lady jd
MINAPENDA REGGAE NA COUNTRY MUSIC ..NTHNG LIKE TAAARABU ...thou nazifahamu bt in music reggae z n ma blood ma broo n country z olways the best wen m upset....taarabu?ahh sjawa bikidawa bado...
UMEPEWA DEDICATN U MWMBO? PLS jinyonge tu if so...
 
wewe wapenda reggae?sigara kubwa je?
 
hapo tuko pamojaaa REGGAE is my life....'GIVE ME REGGAE OR GIVE ME DEATH'
 

mtalimbo ni mkuu wa tatu!
 
kwa wale watu wa zamani ..........ulikuwa ukiimbwa 'mdodoki' na sio 'mtarimbo'
Hebu tuambie mwaya maana siku hizi tafsida kwishnei ........! Hata watoto wa miaka mitano wanaju kitu gani kinaimbwa:embarrassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…