Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Jamani naomba wajuzi wa taarabu (Rose, Cheusi, FirstLady, Preta, Mtende, n.k) mnijuze wimbo wa mtalimbo umelala dolo kaimba nani, na ikiwezekana mnipe vionjo vya mabeti kidogo. Mashaallah mkinijuza maana mtunzi anatupa ujumbe gani?
Ukiimbwa nasikia kama naimbiwa mimi.
Ukiimbwa nasikia kama naimbiwa mimi.