Wimbo wa Love Me Like You Do unamtukuza shetani, chukueni tahadhari

Mzuqa wanajamvi!

Ni mwanadada Ellie Gouling wa uingereza na singo Yake love me like you do inayomtukuza shetani waziwazi kabisa. Ni wimbo ambao ulitoka desemba 2015 na kukonga nyoyo za watu wengi Dunian kote wadogo had wakubwa na Sasa hivi video yake ina views zaidi ya 1.3 billions YouTube. Wengine ambao ni mafreemason ni Adele Na Ed Sheridan.

AnakuambiaYOU ARE THE COLOR OF MY BLOOD(Yani shetani kabisa anatukuzwa) LOVE ME LIKE YOU DO TOUCH ME LIKE YOU DO WHAT ARE YOU WAITING FOR!

Mashabik chukuen tahadhar
Si usikilizi tena.

AlltBilder

Love Me Like You Do
Ellie Goulding
You're the light, you're the night
You're the color of my blood
You're the cure, you're the pain
You're the only thing I wanna touch
Never knew that it could mean so much, so much
You're the fear, I don't care
Cause I've never been so high
Follow me to the dark
Let me take you past our satellites
You can see the world you brought to life, to life
So love me like you do, la-la-love me like you do
Love me like you do, la-la-love me like you do
Touch me like you do, ta-ta-touch me like you do
What are you waiting for?

View attachment 436262


Mtoa post una tatizo la uelewa wa lugha ya queen. Full stop
 
siyo promo mkuu kwani hiz nyimbo za kifreemason hazina promo mkuu watu wanashawishika tu kuzisikliza.Na hata hivyo ningeluwa mtu wa ajab kumpigia promo nduli shetani. Hawa majamaa yameteka kila mahali ispokuwa JF. Ni powerful secret society that rule the world.

wamejikita vema siku hiz kwenye social media miziki na Hollywood. They are really conquering. ISIS wangekuwa na approach nzuri tu Syria na Iraq would have been a good place to raise our children

Kumbe sweden ndio mnafundishwa huu ujinga? Shetani ni akili yako na mawazo yako.
 
Mzuqa wanajamvi!

Ni mwanadada Ellie Gouling wa uingereza na singo Yake love me like you do inayomtukuza shetani waziwazi kabisa. Ni wimbo ambao ulitoka desemba 2015 na kukonga nyoyo za watu wengi Dunian kote wadogo had wakubwa na Sasa hivi video yake ina views zaidi ya 1.3 billions YouTube. Wengine ambao ni mafreemason ni Adele Na Ed Sheridan...
Yaani unabeba boksi hadi unachanganyikiwa. Chezeiya boksi weye, mamaae.
 
Kwa staili hii kuna siku mtasema JF ya M. M nayo ni shetan

Mtu kamwimbia mpenziwe watu mapovuu
 
hawezi kujibu, maana anajua kabisa kinachofuatia ni nini
Hahahahaaa........Eti anajua kinachofuatia nini:D:D:D:D:DYaani watu wana-propagate nadharia ambazo hawana uhakika kama hivyo vitu vipo mfano Shetani na Mungu.
 
Hahahahaaa........Eti anajua kinachofuatia nini:D:D:D:D:DYaani watu wana-propagate nadharia ambazo hawana uhakika kama hivyo vitu vipo mfano Shetani na Mungu.
Upande mmoja umekuwa ukimtuhumu huyu shetani na kumuhusisha na mambo yote mabaya.
Lakini yeye yuko kimya tu,
Nasibiri na yeye ajitetee ili iweze kuangalia ni yupi yuko sahihi.
Siwezi kutoa hukumu kabla sihasikia upande wa pili(shetani) kasema nini
 
Upande mmoja umekuwa ukimtuhumu huyu shetani na kumuhusisha na mambo yote mabaya.
Lakini yeye yuko kimya tu,
Nasibiri na yeye ajitetee ili iweze kuangalia ni yupi yuko sahihi.
Siwezi kutoa hukumu kabla sihasikia upande wa pili(shetani) kasema nini
Ni kweli mkuu, inabidi tusikilize sera za pande zote.

Yeye keshajipigia kampeni na kutoa ilani yake[Bible&Qur'an] na ameshindwa kujibu maswali ya wapiga kura.

Ingefaa tumsikile na Bwana mgombe wa pili, atuambie kwa nini kila baya anatuhumiwa yeye?

Pia atuambie lengo la majaribio ya mapinduzi lilikuwa nini?.........cha ajabu hakuna hata mmoja aliyejitokeza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom