Wimbo mgambo natafuta huu wimbo

Wimbo mgambo natafuta huu wimbo

richie hassan

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana
 
huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana
unataka uuweke status whatsap kufikisha ujumbe? Ukiukosa kabisa kabisa tafuta ule mwingine "mugambo wanaruka na kukanyagana" sijui ni wa Juma Nature

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom