Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,823
- 40,627
Kama unania ya kutoa toaHabari ya weekend. Katika pita pita zangu hapa jijini Dar haswa maeneo ya centre, nimekuja kushtukia naombwa nauli na watu tofauti tofauti tena waweza kuta unaombwa mara mbili kwa siku moja.
“Samahani kaka nimetokea Kigogo nilikuwa naomba nauli niweze kurudi nyumbani, maana hapa nimepoteza nauli ya kurudi” hii ndo gia anayokuja nayo.
Hivi inawezekanaje watu wengi wapoteze nauli kwa wakati mmoja, na kama wanapoteza, mbona sisi hatuokoti hizo hela wanazopoteza. Au kuna mtu kashawahi kuokota hela stend?
Bila shaka huu ni usanii na sasa hivi ni kuwaepuka vikali.
Habari ya weekend. Katika pita pita zangu hapa jijini Dar haswa maeneo ya centre, nimekuja kushtukia naombwa nauli na watu tofauti tofauti tena waweza kuta unaombwa mara mbili kwa siku moja.
“Samahani kaka nimetokea Kigogo nilikuwa naomba nauli niweze kurudi nyumbani, maana hapa nimepoteza nauli ya kurudi” hii ndo gia anayokuja nayo.
Hivi inawezekanaje watu wengi wapoteze nauli kwa wakati mmoja, na kama wanapoteza, mbona sisi hatuokoti hizo hela wanazopoteza. Au kuna mtu kashawahi kuokota hela stend?
Bila shaka huu ni usanii na sasa hivi ni kuwaepuka vikali.
Hapa ulimuweza. HahahhahYupo jamaa mmoja kuna siku alitangaza amekwama nauli,, anasema alikuja msibani mbezi,, kutoka mlandizi,,
Sasa kapishana na gari ya msiba ,,
wamesafirisha iringa.
Anahitaji msaada afike mlandizi...
Nilichofanya nikampeleka stand nikaingia nae kwenye bus,,
Maana na Mimi nilikuwa na safari ya Kibaha.
Jamaa kuona tunazama kwenye bus,,alitokea dirishani huku akifoka kwamba kama ni kusaidiwa basi nimpe pesa maana kuna begi kaliacha huko msibani.
Nilipojaribu kumsisitiza konda ili jamaa arudishwe kwenye bus,,
Jamaa alianza marathon za mchana mchana,,,,
Kila mtu alishikwa na butwaa..na hata mm sikufikiria kama jamaa alikuwa muongo...
Tangu siku hiyo simwamini yeyote.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yupo jamaa mmoja kuna siku alitangaza amekwama nauli,, anasema alikuja msibani mbezi,, kutoka mlandizi,,
Sasa kapishana na gari ya msiba ,,
wamesafirisha iringa.
Anahitaji msaada afike mlandizi...
Nilichofanya nikampeleka stand nikaingia nae kwenye bus,,
Maana na Mimi nilikuwa na safari ya Kibaha.
Jamaa kuona tunazama kwenye bus,,alitokea dirishani huku akifoka kwamba kama ni kusaidiwa basi nimpe pesa maana kuna begi kaliacha huko msibani.
Nilipojaribu kumsisitiza konda ili jamaa arudishwe kwenye bus,,
Jamaa alianza marathon za mchana mchana,,,,
Kila mtu alishikwa na butwaa..na hata mm sikufikiria kama jamaa alikuwa muongo...
Tangu siku hiyo simwamini yeyote.
Mie nawaambia kamuombe konda muelezee naye ni binadamu atakuelewa usijali. Ama naenda kumpandisha Gari pia hapo atatokomeaHabari ya weekend. Katika pita pita zangu hapa jijini Dar haswa maeneo ya centre, nimekuja kushtukia naombwa nauli na watu tofauti tofauti tena waweza kuta unaombwa mara mbili kwa siku moja.
“Samahani kaka nimetokea Kigogo nilikuwa naomba nauli niweze kurudi nyumbani, maana hapa nimepoteza nauli ya kurudi” hii ndo gia anayokuja nayo.
Hivi inawezekanaje watu wengi wapoteze nauli kwa wakati mmoja, na kama wanapoteza, mbona sisi hatuokoti hizo hela wanazopoteza. Au kuna mtu kashawahi kuokota hela stend?
Bila shaka huu ni usanii na sasa hivi ni kuwaepuka vikali.
huo ni ubaguzi kwani kipofu hana haki ya kupata burudani ya kilevi ukimpa mtu pesa matuminzi ni juu yake kwa kadri itakavyo mpendezaHaya mambo yanaudhi sana.
Dodoma, niliombwa nauli na kipofu kabisa ni kipofu sio anaigiza, nikampa elfu 2 akaita bodaboda ampeleke bar akanywe pombe za kienyeji.
Niliumia sana japo elfu 2 sio hela nyingi ila kwangu niliona kama dharau kubwa. Siji kumpa hela ombaomba wa Dodoma hasa wakazi wa mkoa wa Dodoma watu wa hovyo sana.