Pesa ndo tatizo boss, Mtonyooooo......Chibu katag tu kidogo yaani saizi mtoto yupo anaogelea kwenye sweeming pool.
Wazee kwema,
Aisee kuna haka kaupepo kabaya kanakopitia wana JF wenzangu dizaini kama tunachezea Vi ndula sana hivi karibuni.
Je, kinachochochea hii hali ni nini? Ni kwamba wadada wamekuwa na roho ngumu sana ama ni kitu gani? Reference kuna Msela wa manzese, mara C Programming hatujakaa vizuri Bilgert nae analalama wife anazingua na wengineo siwez wakumbuka. Bado upepo mbaya unazunguka katika mahusiano ya ma baharia wenzangu hivyo labda tujuzane tuchukue tahadahari zaidi.
Hata huku mtaani nawaambia kila siku lkn hawasikii.Jamani tutafute hela, kama huna hela mtaishia kulia lia
Pesa ndo tatizo boss, Mtonyooooo......Chibu katag tu kidogo yaani saizi mtoto yupo anaogelea kwenye sweeming pool.
Na wewe unaachwa lini ?Wazee kwema,
Aisee kuna haka kaupepo kabaya kanakopitia wana JF wenzangu dizaini kama tunachezea Vi ndula sana hivi karibuni.
Je, kinachochochea hii hali ni nini? Ni kwamba wadada wamekuwa na roho ngumu sana ama ni kitu gani? Reference kuna Msela wa manzese, mara C Programming hatujakaa vizuri Bilgert nae analalama wife anazingua na wengineo siwez wakumbuka. Bado upepo mbaya unazunguka katika mahusiano ya ma baharia wenzangu hivyo labda tujuzane tuchukue tahadahari zaidi.
Chibu ndio huyo anaitwa MEDIOCRE ?Pesa ndo tatizo boss, Mtonyooooo......Chibu katag tu kidogo yaani saizi mtoto yupo anaogelea kwenye sweeming pool.