Wilson Mukama: Public and Private Profile


Kuna baya zaidi ambalo halijatajwa hapa jf na labda lilisahaulika kwa ubaya wake.
Akiwa Mkurugenzi wa jiji ndo pia kulikuwa na mgogoro mkubwa wa Mwembechai, ule wakati wa vuguvugu la waislamu. Nadhani alikuwa amevutwa sana na hakuwa na solution. Moja ya maneno yake ilikuwa kwamba;

"Nyie watu na kitabu chenu hicho, mutainama sana!" Kitabu alimaanisha Korani tukufu. Haya waislamu tuseme kabadilika?
 
Kumbe na nyie ni wa kabila, sasa kabila lake la nini hapa.

mkuu ... take it easy...siku zote penye excitement panakuwa na burudani .. i suppose this is a mere joke
 

huyu mukama ni kilaza kuliko unavyofikiria wewe
 
mi sioni sababu ya kumchambua mukama,kafanya lipi kashindwa wapi la msingi hapa cdm wakaze buti,mtu mwenyewe mwepesi kama bua, hivyo2015 mambo safiiii
 
anaweza kuwa ana mapungufu yake, lakini comment ulizo weka hapa zinaonyesha ni mtu mwenye uelewa,

mi nimerudia kusoma mara mbili mbili nikafikiri tatizo kimombo.
Kwa mfano aliposema vijana wawe encouraged kukaa vijijini ila huko huduma za kijamii nazo ziwepo; huyu mtoa mada kwa tafsiri yake anasema mukama amewalazimisha vijana waishi vijijini wakati watu wana uhuru wa kuishi popote. Hivi unapomuencourage mtu ndio umemforce?!
Kama nia yake ni kuleta profile chafu atafute nyingine. Wengine hatumjui huyo Mukama kwahiyo hapa tunapima uzito wa hoja unaoletwa.
Nawasilisha.
 
Imefika huku tena...
 
nchi imeuzwaaaaaaaaaa//////.................................................................ngoja nivute shuka nilale

Pasco_jr_ngumi,

1. Imeuzwa Shilingi ngapi?
2. Nani ameinunua?
3. Nani ameiuza?
4. Wakati inauzwa ulikuwepo ndani ya nchi, kama ndiyo hauogopi unakwenda kulala na kijifunika na shuka wakati umeshauzwa?
 



Naona umeandika vizuri sana , mimi binafsi simjui vizuri Mukama na nashukuru kwa ujumbe wako,ila kucomment kwa ujuzi wangu hapo kwenye MUKAMA THE RACIST ni bora ungetuamia kiswahili ungeeleweka vizuri tu, kubagua watu kwa ukanda, kabila; dini au lugha si racism kama unavyodai. Ili kuweka sawa kumbukumbu RACIAL DISCRIMINATION na ETHNIC DISCRIMINATION ni vitu viwili tofauti. Racism unahusiana zaidi na Ubaguzi wa ngozi (Phenotypical features). Sasa hiyo ya ubaguzi wa Machinga inaweza kuwa ni Ethnic au Regional Discrimination na sio Racial Discrimination. Ungetwambia alikuwa anabagua wahindi au waarabu ndio labda ndio ungekuwa sawa mheshimiwa kwa terminology yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…