Wilson Mukama mbona hasikiki?

Wilson Mukama mbona hasikiki?

Ratile

Senior Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
191
Reaction score
104
Jamani wana Jf naomba kujua siku hizi huyu Mukama yuko wapi baada ya kuenguliwa.
 
Acheni udaku! Mzee wa watu amekimbiza kijiti na kakipasisha kwa mtu mwingine. Mnataka asikike iweje? He was a useless person na kajijua ndio maana kaona inatosha
 
Wataalam wa mambo ya ile mipira ya kupatia burudan huwa wanasema mpira Mmoja kwa kila tendo moja. Ukiisha utumia mpira unautupa choon.
 
Jamani wana Jf naomba kujua siku hizi huyu Mukama yuko wapi baada ya kuenguliwa.

Alikataa kuwapigia Magoti Mapacha watatu akatimuliwa. Nape alipiga Magoti sasa anakula Bata tu
 
Mara ya mwisho nlimsikoa akisema CDM wameleta magaidi toka pakistan na somalia hadi Igunga. Hawa watu ni watu wa hovyo sana.
 
Kamuulize ndugu yake msekwa aliyempendekeza! Ni wengi watakaotimuliwa kama yeye kutoka ccm. Tusubiri kidogo tu. Anayefuatia ni nape pamoja na lile jamaa la singida
 
Hao ndio CCM wanakutumia km kile kifanyio, wakimaliza shida zao wanakupotezea!
 
Tuliambiwa anaenda kuongoza mchakato wa kuanzisha Chuo Kikuu cha Siasa cha CCM. Labda bado anatafuta site ya Chuo!
 
Kamuulize ndugu yake msekwa aliyempendekeza! Ni wengi watakaotimuliwa kama yeye kutoka ccm. Tusubiri kidogo tu. Anayefuatia ni nape pamoja na lile jamaa la singida

no kapeleka sharubu india kuziproon maana zilichachamaa mno! Any way naungana nawe mkuu kiama chao tutakiona watafukuzana saaana tuuu!
 
Nenda k'koo kwa wale vijana wanaoingiza nyimbo,video nk kwenye cm,flash n.k watakupatia chochote unachotaka.Nilikuwa nataka nyimbo za fally,werrason,twanga n.k nimepata zote.Ushaur tu
 
Jamani wana Jf naomba kujua siku hizi huyu Mukama yuko wapi baada ya kuenguliwa.

Unamdai? Mwache mzee wa watu aendelee na pension yake ya kimpumu. Ameshakuwa disposed off.
 
atasikika vipi wakati cc walishindwa kuchukua ushauri wa Mh Deo filikunjombe kuwa watu waache kuingilia kazi zao lakini hawakusikia, matokeo yake mzee wangu ana kosa kazi za kufanya maana kazi zake wamepewa wakina juliana shonza na mtela mwampamba. maskini mzee wangu willi kwaisha habari yako.
 
Jamani wana Jf naomba kujua siku hizi huyu Mukama yuko wapi baada ya kuenguliwa.

Unamdai? Mwache mzee wa watu aendelee na pension yake ya kimpumu. Ameshakuwa disposed off. CCM inawenyewe
 
Kalai ukishamaliza kulijengea nyumba, huwekwa stoo na au hutupwa. Waccm hutumika kama makalai ya ya kubebea zege.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom