Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Hii ni kumbukumbu ya mambo yalivyomwendea Kombo JK katika kuongoza chama. Alijitahidi kufiri sana akawa anaona giza. Chama kikawa kinamfia mkononi mwa Makamba Sr. Akataka kubadili upepo kwa kumteua msomi na Katibu Mkuu mstaafu, Wilson Mkama. Akaongeza udahifu mkubwa mno ndani ya chama. Na mwisho akasalenda kwa wale aliowakataa mwanzo akiwa na akina Lowassa na Rostam Aziz. Akamrudisha Komredi Philipo Mangula na Kinana kuokoa jahazi. Na ndo sasa tunaona CCM inayoteta mashiko, hata wanachama wake wanavaa T-shirt zimeandikwa CHAMA CHA MAPINDUZI. Kabla ya Kinana, hapakuwa na hiki.
Alichofanya Mbowe ni sawa na alichofanya JK. Hakina Mbowe anatafuta pa kushika haoni. Anaweza akaleta mwingine wakati wowote. Watu wanasema ameleta Katibu Mkuu wa MAJARIBIO.
Hii ni kweli, anaweza. Maana huyu aliyeletwa ni kama vile Mkama aliyoletwa. Hakuwa na uzoefu wa kisiasa. Aliletwa kwa sababu hapakuwa na jinsi yoyote ya kuokoa chama. Mwisho ameacha watu wenye siasa zao amekuja na mtu anayejaribiwa.
Tunaangalia nini kitatokea. Subiri.