ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 543
- 652
Ni nani huyu?...Ndugu yake Prezoo?
mh ata kama hamzidi manji kulinganishwa tu manji inaonyesha jamaa anatisha.Sio ndugu yake Prezoo wala sio Leka Tutigite...
Huyu ni mkurugenzi wa jiji la Mwanza, ni tajiri kupindukia huenda hata Manji hamfikii kwa mihela. Analindwa na jamaa yake, rafiki yake, class mate wake Mizengo Peter Pinda. Ikumbukwe wakati Pinda anaukwaa uwaziri mkuu huyu Kabwe alikuwa amesimamishwa kazi na Waziri mkuu Edward Lowassa kwa ufisadi na kulalamikiwa na wananchi, Pinda kazi yake ya kwanza ofisini ilikuwa ni kumrudisha huyu mchizi