REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Kwa hiyo, ulitaka wamwache mpaka UKIWA ndio waje wamtumbue ndio ufurahi? Na bado, maana watanzania walio wengi hawawaelewi unajua.BAADA YA CCM KUSHINDWA KUPOLA UMEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM, WAKAONA UKAWA WATAANZA KUFUMUA UOZO WA CCM TANGU UHURU MIAKA ZAIDI YA HAMSINI ILIYOPITA. KWA HIYO WAMEANZA KUTULAGHAI KWA KUJIFANYA ETI WAMEGUNDUA UFISADI WA WILSON KABWE! KILICHOTOKEA LEO JUU YA KABWE NI MWENDELEZO WA ULAGHAI ULE ULE: WAMEMUWAHI KABWE ASIJE AKAWAFIA KIBUDU (NYAMAFU) NDANI YA MIKONO SHUPAVU YA UKAWA. WALIJUA AKISHUGHULIKIWA NA UKAWA CCM WATAKOSA SIFA, WAKAONA "WAMCHINJE" MAPEMA ILI ASIFE KIBUDU. ILI WAMLE JAPO HANA RADHA NZURI, WASIJE WAKALAZIMIKA KUMTUPA, MAANA ANGEKUWA MZOGA. UKAWA TUFUMULIENI UPYA HUO MKATABA, HATUJAONA!
Muogopeni Mungu!!!Rais ni mwajiri nambari moja hapa Tanzania.Mwajiri nambari moja hawezi kupewa mashtaka katika kadamnasi na akayaamini na kuchukua hatua,hilo ni kosa.Makonda ametafuta umaarufu ambao dhamira itamsuta mpaka kuingia kaburini.Waziri wa Tamisemi yupo kwa nini lisipelekwe kwake?Hawana kusema ukawa Magufuli kawashona midomo.
Sawa, mjini kisomo, shamba kilimo. Na bado, kila eneo lazima mpigwe bao.BAADA YA CCM KUSHINDWA KUPOLA UMEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM, WAKAONA UKAWA WATAANZA KUFUMUA UOZO WA CCM TANGU UHURU MIAKA ZAIDI YA HAMSINI ILIYOPITA. KWA HIYO WAMEANZA KUTULAGHAI KWA KUJIFANYA ETI WAMEGUNDUA UFISADI WA WILSON KABWE! KILICHOTOKEA LEO JUU YA KABWE NI MWENDELEZO WA ULAGHAI ULE ULE: WAMEMUWAHI KABWE ASIJE AKAWAFIA KIBUDU (NYAMAFU) NDANI YA MIKONO SHUPAVU YA UKAWA. WALIJUA AKISHUGHULIKIWA NA UKAWA CCM WATAKOSA SIFA, WAKAONA "WAMCHINJE" MAPEMA ILI ASIFE KIBUDU. ILI WAMLE JAPO HANA RADHA NZURI, WASIJE WAKALAZIMIKA KUMTUPA, MAANA ANGEKUWA MZOGA. UKAWA TUFUMULIENI UPYA HUO MKATABA, HATUJAONA!
Muogopeni Mungu!!!Rais ni mwajiri nambari moja hapa Tanzania.Mwajiri nambari moja hawezi kupewa mashtaka katika kadamnasi na akayaamini na kuchukua hatua,hilo ni kosa.Makonda ametafuta umaarufu ambao dhamira itamsuta mpaka kuingia kaburini.Waziri wa Tamisemi yupo kwa nini lisipelekwe kwake?
Kabwe ana shida nyingi mnolakini haya tunayoyaona tutakuja kukumbuka.Tunafurahia binadamu mwingine akiadhiriwa mbele ya kadamsi na tunashangilia,mmmh.Watanzani
Kwa hiyo ulikua unataka kick kupitia wilson Kabwe?
UKAWA ndio kitu gani katika maamuzi ya Nchi hii, au imehusikaje katika maamuzi makini yaliyofanywa na Rais Dr. JPM dhidi ya Wilson Kabwe, hadharani pale Nyerere Bridge?Baada ya CCM kushindwa kupora Umeya wa jiji la Dar es Salaam, wakaona UKAWA wataanza kufumua uozo wa CCM tangu uhuru miaka zaidi ya hamsini iliyopita. Kwahiyo wameanza kutulaghai kwa kujifanya eti wamegundua ufisadi wa Wilson Kabwe!
Kilichotokea leo juu ya Kabwe ni mwendelezo wa ulaghai ule ule. Wamemuwahi Kabwe asije akawafia kibudu (nyamafu) ndani ya mikono shupavu ya UKAWA. Walijua akishughulikiwa na UKAWA ,CCM watakosa sifa, wakaona "wamchinje" mapema ili asife kibudu na wamle japo hana ladha nzuri, wasije wakalazimika kumtupa, maana angekuwa mzoga.
UKAWA tufumulieni upya huo mkataba, hatujaona!