Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
Kanisani katoka?
Kanisani katoka?
Kanisani katoka?
Mwambie huyo mumeo abadilishe singleKumbe anawatesa anawatesa anawatesa eheeee!!!!!
Mara ya pili mkuu?Kuna siku atakuja changanyikiwa !!
Hahahaha Tido sio mwajiriwa wa TBC...